Machapisho ya Imani, inafanya
kazi ya kuandika, kutafsiri na kuchapisha machapisho yanayojenga imani.
Haya yanasambazwa Tanzania yote kutoka katika duka letu la vitabu
lililopo Dar Es Salaam |
Kanisa la Shining Light
linaendesha semina mbalimbali maeneo mbalimbali Tanzania. Tumejikita na
kujitoa kufundisha na kuwasaidia waamini Tanzania kote wapate kukua.
Mada zinazofundishwa ni mapoja na Imani, ROho Mtakatifu na mangine
mengi. |
Shule Ya Biblia ya Shining
Light inatoa elimu ya pekee yenye msingi katika Neno la Mungu ambayo
itakuandaa na kila unachokihitaji kuishi maisha ambayo ulizaliwa ili
uishi. Wahadhiri wetu kabambe na wanaojali watapanda kanuni
zinazobadilisha maisha kutoka katika uzoefu wa huduma katika maisha
yao.
|
Kanisa la
Shining
Light linaifikia jamii inayowazunguka. Tanzania Kuna makanisa manne
yaliyo chini ya SHining Light. Ikijumuisha Shining Light Mbeya, Shining
Light Pugu, Shining Light Mkundi na Shining Light Kinondoni . |