Kununua Rejareja
-
Unaweza
kuja kununua moja kwa moja katika duka letu lililopo Ubungo mkabala na
standi ya daladala karibu na Tanesco au
-
Download
order form jaza na ututumie oda yako kwa
-
-
ujumbe
mfupi: 0773750120, 0767750120, 0784750120, 0715750120.
-
Ujumbe
uwe na: Jina la mwandishi, lugha, jina la kitabu na idadi
-
Tutakuarifu
gharama zake
-
Thibitisha
na lipa angalia no. 6
-
Tutakuwekea
kwenye bahasha.
-
Unaweza
kuja kuchukua ofosini au tukakutumia kama ni nje ya Dar es salaam
angalia no 4
-
Tuzo
kwa wanunuaji wa rejareja; inakuwezesha kupata tuzo ya shilingi 500
kila unapofikisha 10000 ya manunuzi yako ambayo utaweza kutumia kwa
kukupunguzia siku inayofuata au kununua siku inayofuata.
-
Ili
kupata Tuzo tuma barua pepe yenye: Jina, barua pepe yako, na namba ya
simu
Utaratibu wa kukutumia
ndani ya
Tanzania
-
Unaweza
kununua moja kwa moja katika duka la vitabu pale Ubungo, Shining Light
Library kkama upo Dar es Salaam au kama rafiki yako yupo Dar
-
Au
ukapata katika ofisi za makao makuu ya mikoa katik ofisi za mabasi
yatokayo Dar Es salaam kama vile Dar Express, Summry, NBS, Allys,
abood, upendo,Nyagawa nk .
-
Hii
ni bure kwa anayenunua zaidi ya Tsh 10000/=
Jinsi ya kulipa
-
Unaweza
kulipa kwa njia ya:
-
Taslimu
katika duka la vitabu
-
Bank
account 011103024232 NBC
-
SImu:
-
M-Pesa
0767750120
-
Tigo
Pesa 0715750120
-
Airtel
Money 0784750120
-
ezy
Pesa 0773750120
-
Kiasi
cha kulipa
-
Kiasi
chote cha gharama
-
Usafiri
ni bure kwa zaidi ya Sh 10000/=
Asante kwa kushirikiana nasi
katika
kujenga ufalme wa Mungu na mwili wa Kristo.
Tunaangaza Nuru ya Injili
|